Ufafanuzi wa kiporo katika Kiswahili

kiporo, uporo

nomino

  • 1

    chakula kilicholala mpaka asubuhi.

    mwiku, bariyo, uporo