Ufafanuzi wa kipuli katika Kiswahili

kipuli

nominoPlural vipuli

  • 1

    pambo la puani au masikioni.

    herini, nti, bali

Matamshi

kipuli

/kipuli/