Ufafanuzi wa kipungu katika Kiswahili

kipungu

nominoPlural vipungu

  • 1

    ndege mkubwa kama tai anayekamata wanyama wadogo na kuwala.

    methali ‘Mwenda juu kipungu hafikii mbinguni’

Matamshi

kipungu

/kipungu/