Ufafanuzi wa kipunguzo katika Kiswahili

kipunguzo

nominoPlural vipunguzo

  • 1

    kiasi cha fedha anachopunguziwa mtu katika bei ya kitu fulani.

    aheri

Matamshi

kipunguzo

/kipunguzɔ/