Ufafanuzi wa kipuri katika Kiswahili

kipuri

nomino

  • 1

    kifaa cha kurekebisha mashine au magari badala ya kingine ambacho kimeharibika au kupotea.

    spea

Matamshi

kipuri

/kipuri/