Ufafanuzi msingi wa kipwe katika Kiswahili

: kipwe1kipwe2

kipwe1

nominoPlural vipwe

  • 1

    ndege mwenye rangi nyeupe kifuani na rangi nyeusi kichwani, mabegani, mkiani na miguuni, aliye na sauti mbalimbali na husadikiwa kuwa akilia karibu na nyumba patakuwa na msiba kwenye nyumba hiyo.

    mwanguo, tiva, aninia

Matamshi

kipwe

/kipwɛ/

Ufafanuzi msingi wa kipwe katika Kiswahili

: kipwe1kipwe2

kipwe2

nominoPlural vipwe

  • 1

    sauti inayofanywa kwa kupiga kidole cha mkono cha kati na cha gumba kwa kuitia mtu au kucheza na mtoto mchanga.

    kifoli

Matamshi

kipwe

/kipwɛ/