Ufafanuzi wa kipwepwe katika Kiswahili

kipwepwe

nomino

  • 1

    ugonjwa wa ngozi unaosababisha madoa mekundu, unaosemekana kuwa huletwa na chawa.

Matamshi

kipwepwe

/kipwɛpwɛ/