Ufafanuzi wa kipwi katika Kiswahili

kipwi

nominoPlural vipwi

  • 1

    choo cha ndani ya jahazi kilichojengwa sehemu ya ubavuni.

    daraba

Matamshi

kipwi

/kipwi/