Ufafanuzi wa kiraa katika Kiswahili

kiraa

nominoPlural kiraa

Kidini
  • 1

    Kidini
    namna mtu anavyosoma Kurani.

    ‘Kiraa cha Abu Hafsi’

Matamshi

kiraa

/kira:/