Ufafanuzi msingi wa kirago katika Kiswahili

: kirago1kirago2

kirago1

nominoPlural virago

 • 1

  safari ya kwenda kwa miguu.

Matamshi

kirago

/kiragO/

Ufafanuzi msingi wa kirago katika Kiswahili

: kirago1kirago2

kirago2

nominoPlural virago

 • 1

  mkeka mdogo wa kulalia unaosukwa kwa kamba za usumba, mgomba au kitani.

  gayagaya

 • 2

  kipande cha mkeka au jamvi kilichochakaa.

Matamshi

kirago

/kiragO/