Ufafanuzi wa kirai kitenzi katika Kiswahili

kirai kitenzi

nominoPlural virai kitenzi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    kikundi cha maneno ambacho neno lake kuu ni kitenzi.

Matamshi

kirai kitenzi

/kiraji kitɛnzi/