Ufafanuzi wa kirai nomino katika Kiswahili

kirai nomino

nominoPlural virai nomino

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    kikundi cha maneno ambacho neno lake kuu ni nomino.

Matamshi

kirai nomino

/kiraji nOminO/