Ufafanuzi wa kiranga katika Kiswahili

kiranga

nominoPlural viranga

  • 1

    tabia ya kutamani kuzini na kila mwanamke au mwanamume.

    uasherati

Matamshi

kiranga

/kiranga/