Ufafanuzi msingi wa kiriba katika Kiswahili

: kiriba1kiriba2

kiriba1

nominoPlural viriba

  • 1

    mfuko uliofanywa kwa ngozi ya mnyama unaotumiwa kuchukulia maji.

Matamshi

kiriba

/kiriba/

Ufafanuzi msingi wa kiriba katika Kiswahili

: kiriba1kiriba2

kiriba2

nominoPlural viriba

  • 1

    mfuko uliofanywa kwa ngozi ya mnyama unaotumiwa kupulizia moto katika uhunzi.

Asili

Kar

Matamshi

kiriba

/kiriba/