Ufafanuzi wa kirihi katika Kiswahili

kirihi

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    fanya mambo ya kuchukiza watu.

    udhi, chukiza, hizi

Asili

Kar

Matamshi

kirihi

/kirihi/