Ufafanuzi msingi wa kiroba katika Kiswahili

: kiroba1kiroba2

kiroba1

nominoPlural viroba

  • 1

    kifaa aina ya gunia kinachoweza kuwa na ukubwa wa robo ya gunia kwa ajili ya kuwekea vitu mbalimbali kama sukari, unga na chumvi.

Matamshi

kiroba

/kirOba/

Ufafanuzi msingi wa kiroba katika Kiswahili

: kiroba1kiroba2

kiroba2

nominoPlural viroba

  • 1

    kifuko kidogo cha plastiki chenye pombe kali k.v. konyagi.

Matamshi

kiroba

/kirOba/