Ufafanuzi msingi wa kirugu katika Kiswahili

: kirugu1kirugu2

kirugu1

nominoPlural virugu

 • 1

  mwisho wa kuta za nyumba kwa juu.

 • 2

  kimo cha ukuta wa nyumba.

Ufafanuzi msingi wa kirugu katika Kiswahili

: kirugu1kirugu2

kirugu2

nominoPlural virugu

 • 1

  sehemu ya mwili iliyovimba k.v. kipele au kijipu.

  methali ‘Mwana wa ndugu kirugu mjukuu mwanangwa’

Matamshi

kirugu

/kirugu/