Ufafanuzi msingi wa kirukanjia katika Kiswahili

: kirukanjia1kirukanjia2

kirukanjia1

nominoPlural virukanjia

 • 1

  ndege mdogo mwenye rangi ya kahawia mwili mzima na vibaka vyeupe kifuani na pembezoni mwa manyoya ya mkiani na kwenye mbawa, ana tabia ya kuruka njiani wakati wa usiku.

  gawa, nyomvi

Matamshi

kirukanjia

/kirukanʄija/

Ufafanuzi msingi wa kirukanjia katika Kiswahili

: kirukanjia1kirukanjia2

kirukanjia2

nominoPlural virukanjia

 • 1

  mtu asiyependa kukaa mahali pamoja.

 • 2

  mwanamke asiyekaa na kutulia na mwanamume.

Matamshi

kirukanjia

/kirukanʄija/