Ufafanuzi msingi wa kisaga katika Kiswahili

: kisaga1kisaga2

kisaga1

nominoPlural visaga

  • 1

    kipimo cha vibaba viwili.

Matamshi

kisaga

/kisaga/

Ufafanuzi msingi wa kisaga katika Kiswahili

: kisaga1kisaga2

kisaga2

nominoPlural visaga

  • 1

    mdudu mdogo ambaye hutoboa sana punje za maharage, kunde, njegere na mbegu nyinginezo.

Matamshi

kisaga

/kisaga/