Ufafanuzi wa kisagaunga katika Kiswahili

kisagaunga

nominoPlural visagaunga

  • 1

    kaa mweupe apendaye sana kujifukia mchangani baharini.

    kifukulile, kururu, fuu

Matamshi

kisagaunga

/kisagawunga/