Ufafanuzi wa kisalata katika Kiswahili

kisalata

nominoPlural visalata

  • 1

    mtu mchonganishi, mfitini na mzandiki.

Matamshi

kisalata

/kisalata/