Ufafanuzi wa kisamaki katika Kiswahili

kisamaki

nominoPlural visamaki

  • 1

    kibao kinachowekwa kwenye kizingiti cha juu ili kuzuia mwimo wa mlango au dirisha.

Matamshi

kisamaki

/kisamaki/