Ufafanuzi wa kisambare katika Kiswahili

kisambare

nomino

  • 1

    majani yatambaayo chini na yenye maua madogo ya buluu.

Matamshi

kisambare

/kisambarÉ›/