Ufafanuzi wa kisanga katika Kiswahili

kisanga

nominoPlural visanga

  • 1

    tukio, hasa baya, linalompata mtu.

    balaa, janga

  • 2

    hali ya ghasia inayotokana na kutokuelewana.

    ‘Kisanga kilianza mara baada ya hotuba ya Waziri’

Matamshi

kisanga

/kisanga/