Ufafanuzi wa kisarambe katika Kiswahili

kisarambe

nominoPlural visarambe

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    wimbo wenye urari wa vina lakini idadi ya mapigo yake katika kila mshororo hailingani.

Matamshi

kisarambe

/kisarɛmbɛ/