Ufafanuzi wa kisengenye katika Kiswahili

kisengenye

nomino

  • 1

    ndege wa jamii ya sigi na tongo, mwenye rangi ya buluu mgongoni na kijivu tumboni.

Matamshi

kisengenye

/kisɛngɛ3ɛ/