Ufafanuzi wa kiserema katika Kiswahili

kiserema

nominoPlural viserema

  • 1

    kipande kidogo cha jembe kilichobaki na ambacho hakifai kufanyia kazi tena.

    kisagalima

Matamshi

kiserema

/kisɛrɛma/