Ufafanuzi wa kisha katika Kiswahili

kisha

kielezi

 • 1

  ‘Njoo kisha’
  halafu
  , → baadaye
  , and → baada
  ‘Alimwangusha kisha akamkanyaga’

Matamshi

kisha

/kiʃa/