Ufafanuzi wa kisharifu katika Kiswahili

kisharifu

nominoPlural visharifu

  • 1

    ndege mwenye rangi nyekundu kifuani na miguuni, mgongo na mbawa za rangi ya zambarau na mdomo mrefu mwekundu, mwenye tabia ya kuvua samaki.

    kizamiadagaa, kurea, mtilili

Matamshi

kisharifu

/kiʃarifu/