Ufafanuzi wa kishawishi katika Kiswahili

kishawishi

nominoPlural vishawishi

  • 1

    kitu au jambo linalomfanya mtu avutiwe na kutenda jambo fulani.

    kivutio

Matamshi

kishawishi

/kiʃawiʃi/