Ufafanuzi msingi wa kishazi katika Kiswahili

: kishazi1kishazi2

kishazi1

nominoPlural vishazi

 • 1

  vitu vilivyotungwa k.v. katika ung’ongo au kamba.

  ‘Kishazi cha samaki’
  mtungo

Matamshi

kishazi

/kiʃazi/

Ufafanuzi msingi wa kishazi katika Kiswahili

: kishazi1kishazi2

kishazi2

nominoPlural vishazi

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  fungu la maneno lenye muundo wa kiimakiarifu ambalo limo ndani ya sentensi.

Matamshi

kishazi

/kiʃazi/