Ufafanuzi wa kishikio katika Kiswahili

kishikio

nominoPlural vishikio

  • 1

    kitu cha kushikia.

    ‘Kishikio cha taa’

Matamshi

kishikio

/kiʃikijO/