Ufafanuzi msingi wa kishoroba katika Kiswahili

: kishoroba1kishoroba2

kishoroba1

nomino

  • 1

    mahali parefu na pembamba.

  • 2

    sehemu ndogo, agh. ya ardhi.

    ‘Amelima kishoroba’
    ‘Amenyoa kishoroba’

Matamshi

kishoroba

/kiāˆ«OrOba/

Ufafanuzi msingi wa kishoroba katika Kiswahili

: kishoroba1kishoroba2

kishoroba2

nomino

nomino