Ufafanuzi wa kishupi katika Kiswahili

kishupi

nomino

  • 1

    mfuko wa mkeka unaotumika kwa kulalia au kuzikia maiti.

Matamshi

kishupi

/kiʃupi/