Ufafanuzi wa kisibiti katika Kiswahili

kisibiti

nominoPlural visibiti

  • 1

    mbegu ndogondogo zinazotiwa katika chakula kama kiungo; bizari nyembamba.

    ‘Mboga za kisibiti’

Matamshi

kisibiti

/kisibiti/