Ufafanuzi wa kisiki katika Kiswahili

kisiki

nomino

  • 1

    kipande cha mti kilichobaki katika ardhi mti uishapo kukatwa.

Matamshi

kisiki

/kisiki/