Ufafanuzi wa kisima katika Kiswahili

kisima

nominoPlural visima

  • 1

    mahali palipochimbwa na kutoa maji kwa ajili ya matumizi.

  • 2

    mahali panapochimbuliwa mafuta au gesi.

Matamshi

kisima

/kisima/