Ufafanuzi msingi wa kisirani katika Kiswahili

: kisirani1kisirani2

kisirani1

nominoPlural visirani

 • 1

  hali inayoleta matokeo mabaya; ndegembaya.

  nuksi, ukorofi, balaa

 • 2

  udhia

Matamshi

kisirani

/kisirani/

Ufafanuzi msingi wa kisirani katika Kiswahili

: kisirani1kisirani2

kisirani2

nominoPlural visirani

 • 1

  mtu anayesababisha hali inayoleta matokeo mabaya.

  maafa, uchimvi, nuhusi, mkosi, baa

Matamshi

kisirani

/kisirani/