Ufafanuzi wa kisogo katika Kiswahili

kisogo

nomino

  • 1

    sehemu ya nyuma ya kichwa.

    kogo

Matamshi

kisogo

/kisOgÉ”/