Ufafanuzi wa kisokoto katika Kiswahili

kisokoto

nominoPlural visokoto

  • 1

    ngoma ya pungwa au madogori inayopigwa kwa madhumuni ya kumpandisha mteja pepo.

Matamshi

kisokoto

/kisOkOtO/