Ufafanuzi wa kisongo katika Kiswahili

kisongo

nomino

  • 1

    tendo, namna au hali ya kusokota.

  • 2

    kitu kinachotumika kukazia mzigo au kitu kilicholegea.

Matamshi

kisongo

/kisOngO/