Ufafanuzi wa kisonono katika Kiswahili

kisonono

nominoPlural visonono

  • 1

    ugonjwa wa zinaa wa kuambukiza wa kutokwa na damu au usaha kwenye tupu ya mbele.

    kisalisali

Matamshi

kisonono

/kisOnOnO/