Ufafanuzi wa kisoshalisti katika Kiswahili

kisoshalisti

kivumishi

  • 1

    -enye kuamini nadharia ya kisiasa na kiuchumi inayotaka njia kuu za uchumi zimilikiwe na umma au na taifa kwa manufaa ya jamii nzima.

    ‘India ilikubali mfumo wa kisoshalisti mwaka wa 1951’

Asili

Kng

Matamshi

kisoshalisti

/kisɔʃalisti/