Ufafanuzi wa kistari katika Kiswahili

kistari

nominoPlural vistari

  • 1

    mstari mfupi unaotumika kuunganishia maneno mawili au unaotiwa mwishoni mwa mstari kuonyesha neno linamalizikia mstari unaofuata.

Matamshi

kistari

/kistari/