Ufafanuzi wa kisugudi katika Kiswahili

kisugudi

nominoPlural visugudi

  • 1

    kiko cha mkono.

    kiko, kiri

Matamshi

kisugudi

/kisugudi/