Ufafanuzi msingi wa kisukari katika Kiswahili

: kisukari1kisukari2

kisukari1

nominoPlural visukari

  • 1

    ndizi fupi, nene na tamu zinazoliwa mbivu.

Matamshi

kisukari

/kisukari/

Ufafanuzi msingi wa kisukari katika Kiswahili

: kisukari1kisukari2

kisukari2

nominoPlural visukari

  • 1

    ugonjwa unaosababishwa na kuzidi au kupungua kwa sukari kuliko inayohitajika mwilini; ugonjwa unaosababisha mtu kukojoa mara kwa mara na kuhisi kiu sana.

Matamshi

kisukari

/kisukari/