Ufafanuzi wa kisura katika Kiswahili

kisura

nominoPlural visura

  • 1

    neno linalotumiwa agh. na wanaume kuwaita wanawake.

    ‘Huyu ni kisura wangu’

  • 2

    msichana mrembo.

    kimanzi

Matamshi

kisura

/kisura/