Ufafanuzi wa kisutuo katika Kiswahili

kisutuo

nominoPlural visutuo

  • 1

    chakula kitolewacho baada ya kumaliza kazi ya pamoja.

Matamshi

kisutuo

/kisutuwɔ/