Ufafanuzi wa kiswa katika Kiswahili

kiswa

nominoPlural viswa

  • 1

    vazi kamili lenye staha kama wanalovaa watu wa dini.

Matamshi

kiswa

/kiswa/