Ufafanuzi msingi wa kitako katika Kiswahili

: kitako1kitako2

kitako1

nominoPlural vitako

 • 1

  sehemu ya mwili katikati ya matako.

  msamba

 • 2

  kiti cha baiskeli.

 • 3

  sehemu ya chini ya kitu k.v. pipa au chupa.

 • 4

  kiweko

Matamshi

kitako

/kitakO/

Ufafanuzi msingi wa kitako katika Kiswahili

: kitako1kitako2

kitako2

kielezi

 • 1

  chini.

Matamshi

kitako

/kitakO/